Mshambulizi wa Tottenham Harry Kane hana mpango kujiunga na Paris St-Germain msimu huu wa joto na mchezaji huyo wa miaka 29, ambaye anaaminika kuwa tayari kuhamia Bayern Munich, hatakubali mbinu yoyote kutoka kwa mabingwa hao wa Ufaransa. (Telegraph - usajili unahitajika)
..... download Xtra 90 App



