Kikosi cha Singida Fountain Gate kimeanza mazoezi ya pre-season leo kambini Arusha chini ya Kocha wa viungo Musa Bafana
Walima alizeti hao watashiriki michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika msimu ujao