Safari ya kuelekea kileleni mwa Mlima Kilimanjaro tayari kwa uzinduzi, kibegi kilichobeba jezi za Simba 2023/24 kimewasili Marangu
Siku ya Ijumaa, Simba itazindua jezi za msimu wa 2023/24 juu ya kilele cha mlima Kilimanjaro