Simba - Local - Transfer

Simba yafunga usajili wa ndani

Joel JJ By Joel JJ
β€’
21 Jul 2023
Simba yafunga usajili wa ndani

Klabu ya Simba jana ilitambulisha usajili wa wachezaji watatu wa ndani ambao wamefunga usajili kwa wachezaji wa ndani

Mshambuliaji Shabani Iddi Chilunda, kiungo Abdallah Khamis na beki Hussein Kazi walitambulishwa kujiunga na Wekundu hao wa Msimbazi

Chilunda ametua Simba akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na Azam Fc wakati Khamis amejiunga na Simba akitikeo klabu ya Tusker Fc ya Kenya

Kazi ametua Msimbazi akitokea klabu ya Geita Gold

Bado Simba imebakisha utambulisho wa wachezaji wengine wawili wa kigeni mmoja akiwa ni mlinda lango na pili ni Luis Miquissone

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
15h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’