Viungo wa Simba Clatous Chama na Fabrice Ngoma wameungana na wachezaji wengine wa Simba wanaoendelea na pre-season huko Uturuki
Ngoma na Chama waliwasili Uturuki jana baada ya kumaliza changamoto zilizokuwa zinawakabili
Chama alikuwa na mgogoro wa kimkataba dhidi ya waajiri wake wakati Ngoma alicheleweshwa na vibali vya kazi





