Wekundu wa Msimbazi Simba Sc leo wamezindua jezi mpya kwa ajili ya msimu wa mashindano 2023/24
Uzinduzi umefanyika rasmi baada ya jezi hizo kufikishwa kileleni cha mlima Kilimanjaro