Singida - Local - Transfer

Ulimwengu kuibukia Singida FG

Joel JJ By Joel JJ
β€’
22 Jul 2023
Ulimwengu kuibukia Singida FG

Klabu ya Singida FG iko mbioni kukamilisha usajili wa mshambuliaji Thomas Ulimwengu ambaye alikuwa anacheza kikosi cha TP Mazembe. Ulimwengu kwa sasa ni mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Mazembe

Ulimwengu na mastaa wengine ambao hawajatambulishwa tayari wapo kwenye mazoezi ya timu hiyo yanayoendelea mkoani Arusha kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya

Kama Ulimwengu atasaini mkataba wa kuitumikia timu hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa mchezaji huyo kucheza soka nchini

Upande wa Singida ni wazi usajili wa Ulimwengu unaenda kuongeza kitu katika kikosi chao kwani mchezaji huyo akiwa fiti anakuwa na ubora mzuri wa kuweka mipira wavuni

Ulimwengu ana uzoefu wa mashindano makubwa kwani alishachukua ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2014/15 na alicheza Fainali za kombe la Dunia upande wa klabu 2016 akiwa na TP Mazembe

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
31m ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
11h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
18h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
19h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
20h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’