Yanga - Local

Gamondi asifu wachezaji Yanga

Joel JJ By Joel JJ
β€’
23 Jul 2023
Gamondi asifu wachezaji Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema mchezo dhidi ya Kaizer Chiefs umempa taswira nzuri ya aina ya kikosi alichonacho

Aidha Gamondi ameeleza kuridhishwa na ari, morali na upambanaji wa wachezaji wake huku akiwamwagia sifa kwa kuonyesha kiwango kizuri

"Wanapongeza wachezaji wangu kwa kuwa na mchezo mzuri leo. Tulitawala mchezo na tulitengeneza nafasi nyingi pengine tungeweza kufunga mabao zaidi"

"Nikuhakikishie tuna wachezaji bora na zaidi wako wengine wamenishtua kwa viwango vyao, tuna timu ya kuendelea kuipigania Yanga kupata mataji zaidi"

"Nimewaambia wachezaji tunachotakiwa ni kujiandaa timu ishinde kila mechi ndio maana tupo hapa na hatua hiyo inaanzia sasa hadi mwisho wa msimu, mashabiki wetu wanahitaji kutuona tunavuja jasho jingi kwa ajili ya timu hii kubwa," alisema Gamondi

Gamondi amekiandaa kikosi chake kwa takribani siki moja tu kabla ya mchezo huo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0

Jambo lililowafurashisha mashabiki wa Yanga ni kuona aina ya uchezaji wa timu yao haujabadilika zaidi yapo maboresho yameongezeka hasa timu inapokwenda kushambulia, kasi inaongezeka

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’