Namungo yamtangaza Kaze kuwa Kocha Mkuu

Joel JJ By Joel JJ β€’ 24th July 2023


Namungo yamtangaza Kaze kuwa Kocha Mkuu

Klabu ya Namungo Fc imemtangaza Cedric Kaze kuwa kocha mkuu wa timu hiyo

Kaze aliitumikia Yanga kwa vipindi viwili tofauti akiwa kocha mkuu na baadae kuwa kocha msaidizi katika kikosi cha Nasreddine Nabi kilichoshinda mataji sita katika misimu miwili iliyopita

Mkataba wake na Yanga ulimalizika mwishoni mwa msimu uliopita


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.