Simba - Yanga - Local

Droo Ligi ya Mabingwa yafanyika Misri

Joel JJ By Joel JJ
β€’
25 Jul 2023
Droo Ligi ya Mabingwa yafanyika Misri

Droo ya hatua za awali ligi ya mabingwa imefanyika Misri leo

Yanga mabingwa wa Tanzania Bara wataanzia hatua ya awali wakati watani zao Simba watakaoshiriki African Football League wataanzia raundi ya kwanza

Hatua ya awali Yanga itaanzia ugenini dhidi ya Asas Fc ya Djibout na kama itafanikiwa kuvuka, raundi ya kwanza itachuana na mshindi kati ya Fc Otoho (Congo) dhidi ya Al Marrikh (Sudan)

Simba itasubiri mshindi wa mchezo kati ya African Star (Namibia) dhidi ya Power Dynamos ya Zambia

Aidha Simba inaweza kucheza mechi tatu na Dynamos kama Wazambia hao watafanikiwa kuvuka hatua ya awali

Simba na Power Dynamos zitachuana kwenye mchezo wa SIMBA DAY August 06 

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
17m ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
3h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
4h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
4h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
5h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
6h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
7h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
7h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
20h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
20h ago
READ MORE β†’