Azam kuanza na Kenema, Singida FG dhidi ya JKU

Joel JJ By Joel JJ β€’ 25th July 2023


Azam kuanza na Kenema, Singida FG dhidi ya JKU

Droo ya hatua ya awali kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF CC) imefanyika leo huko Misri

Azam FC itaanzia ugenini  dhidi ya Bahir Dar Kenema ya Ethiopia hatua ya awali kisha kurudiana Dar es Salaam na mshindi atakutana na Club Africain ya Tunisia

Singida Fountain Gate FC itacheza mechi mbili za awali Kombe la Shirikisho Afrika(CAFCC) dhidi ya JKU ya Zanzibar na mshindi wa jumla atacheza dhidi ya Future FC ya Misri

Mechi za mkondo wa kwanza hatua ya awali zitapigwa mwishoni mwa August 2023


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.