Azam - Local

Azam Fc yalaani waamuzi kipigo mechi ya kirafiki

Joel JJ By Joel JJ
β€’
27 Jul 2023
Azam Fc yalaani waamuzi kipigo mechi ya kirafiki

Mchezo wa nne wa kirafiki ambao Azam Fc walicheza jana dhidi ya Stade Tunisien ulivunjika dakika ya 60 baada ya Azam Fc kutoridhishwa na maamuzi wa mchezo huo

Mpaka mchezo unavunjika, Azam Fc walikuwa nyuma kwa mabao 3-1

Msemaji wa Azam Fc Hasheem Ibwe amesema mwamuzi alikuwa na upendeleo wa wazi lakini pia wapinzani wao hawakuchukulia mchezo huo kama wa kirafiki

"Mwamuzi alifanya upendeleo wa dhahiri pia hakuchukua hatua kwenye matukio ya rafu ambayo wachezaji wetu walifanyiwa. Dakika ya 60 mchezo ulivunjika baada ya mchezaji wetu Edward Charles Manyama kufanyiwa madhambi ambayo yalipelekea akavunjika mkono"

"Lakini pia mwamuzi akawapa wapinzani wetu mkwaju wa penati, maamuzi ambayo yalipelekea kocha kuagiza wachezaji watoke uwanjani na mchezo huo kuvunjika," alisema Ibwe

Katika mechi za kirafiki ambazo Azam Fc wamechezaji huko Tunisia, walishinda mechi mbili na kupoteza mechi mbili

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
36m ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
11h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
11h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
18h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
19h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
19h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
20h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’