Klabu ya Simba imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Turan PFK katika mchezo wa kirafiki uliopigwa huko Uturuki
Kibu Denis ameendeleza moto wake wa kupachika mabao katika pre-season leo akifunga tena
Kibu aliitanguliza Simba kwa bao la kuongoza kabla ya nahodha John Bocco kuweka kimiani bao la pili
Simba itacheza tena Turan PFK jioni katika mchezo mwingine wa kujipima
Kocha Mkuu wa Simba Robertinho Oliveira alianza na kikosi hiki;




