Azam - Local

Manyama nje wiki moja

Joel JJ By Joel JJ
β€’
28 Jul 2023
Manyama nje wiki moja

Beki wa Azam Fc Edward Charles Manyama ambaye aliumia katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Stade Tunisien anaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu

Manyama aliumia mkono katika mchezo ambao haukumalizika kwa kile kilichoelezwa na Azam Fc kuwa ulitawaliwa na matukio ya vurugu

Taarifa ya Azam Fc imebainisha kuwa Manyama atakuwa nje ya uwanja wa kwa muda wa wiki moja

"Beki wetu Manyama aliyepata majeraha kwenye mchezo siku ya Jumatano dhidi ya Stade Tunisien, anaendelea vizuri hivi sasa. Tofauti na matarajio ya awali tukidhania amevunjika mkono, mara baada ya kupelekwa hospitali na kufanyiwa vipimo kwa kina, imebainika ameteguka mkono wake wa kushoto"

"Daktari wa timu yetu, Dk. Mwanandi Mwankemwa, ameweka wazi kuwa Manyama atakaa nje ya dimba kwa muda wa wiki moja kabla ya kuruhusiwa kurejea kwenye mazoezi ya kawaida na wenzake," ilisema taarifa ya Azam Fc

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
15h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’