Bayern - Tottenham - International

Bayern kuongeza dau kumnasa Kane

Joel JJ By Joel JJ
β€’
28 Jul 2023
Bayern kuongeza dau kumnasa Kane

Kwa mujibu wa talkSPORTS, Mwenyekiti wa Tottenham Daniel Levy anatazamiwa kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na viongozi wa Bayern Munich kuhusu mustakabali wa Harry Kane leo

Bayern walikuwa na ofa ya pauni milioni 70 kwa nahodha huyo wa Uingereza iliyokataliwa mapema mwezi huu lakini wako tayari kuboresha dau hilo

Washauri wa Kane wameonyesha kuwa yuko tayari kujiunga na mabingwa hao wa Bundesliga

Mshambulizi huyo, ambaye leo anatimiza miaka 30, ameingia mwaka wa mwisho wa mkataba wake Tottenham

Levy anamthamini Kane kwa pauni milioni 100 na inafikiriwa kuwa Bayern wako tayari kulipa hadi pauni milioni 86

Miamba hao wa Ujerumani wanaweza kusubiri kufikia makubaliano ya awali ya mkataba na Kane mwezi Januari kabla ya uhamisho wa bure, ingawa wanaweza kukabiliwa na ushindani mkubwa.

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
9h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
9h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
13h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
16h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
17h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
17h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
18h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’