Klabu ya AS Vita kutoka DR Congo imeweka kambi Tanzania kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa mashindano 2023/24
Jana AS Vita walicheza mechi ya kujipima nguvu dhidi ya Namungo Fc na kukubali kipigo cha bao 1-0
Bao pekee la Namungo Fc lilifungwa na Frank Domayo 'Chumvi', mchezo ukipigwa kwenye uwanja wa Black Rhino Academy, Karatu






