Yanga - Azam - Local

Azam imedhamiria ubingwa Ligi Kuu

Joel JJ By Joel JJ
β€’
29 Jul 2023
Azam imedhamiria ubingwa Ligi Kuu

Azam Fc imefanikiwa kun'goa silaha mbili muhimu kutoka klabu ya Yanga ili kukiimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao

Walianza na Feisal Salum 'Fei Toto', mchana wa leo wakatangaza kuinasa saini ya mchezaji bora wa ligi kuu ya NBC msimu 2021/22, Yannick Bangala kutoka klabu ya Yanga

Fei Toto na Bangala walikuwa wachezaji muhimu katika kikosi cha aliyekuwa kocha wa Yanga Nasreddine Nabi

Kwa aina ya usajili ambao Azam Fc wamefanya, wameonyesha kwa vitendo kuwa wanataka kushindana na Yanga na Simba katika soka la Tanzania

Pengine huenda wakafanikiwa katika huu msimu unaokuja

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
3h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
7h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
7h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
8h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
9h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
9h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
10h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
10h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
1d ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
1d ago
READ MORE β†’