Baada ya kibegi cha Simba kupanda juu ya mlima Kilimanjaro ambako uzinduzi wa jezi ya Simba 2023/24 ulishuhudiwa, kibegi hicho sasa kinakwenda kupigwa mnada ambapo fedha zitakazopatikana zitakwenda kusaidia wodi za Mama na Mtoto kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na Hospitali ya Zanzibar
..... download Xtra 90 App



