Kagera Sugar kujipima na Vipers Fc

Joel JJ By Joel JJ β€’ 31st July 2023


Kagera Sugar kujipima na Vipers Fc

Yakiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa mashindano 2023/24, Vipers SC itamenyana na Kagera Sugar FC ya Ligi Kuu Tanzania Bara katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa.

The Venoms, watakuwa wenyeji wa wageni wao wanaosafiri katika Uwanja wa St Mary’s, Kitende siku ya Jumanne, bila mashabiki

Huu utakuwa mchezo wa kwanza wa kujipima nguvu kwa Kagera Sugar yakiwa ni maandalizi ya msimu mpya baada ya kufanya usajili wa nyota wengi wapya

Kwa Vipers Fc utakuwa mchezo wa kwanza wa kirafiki dhidi ya timu kutoka nje ya Uganda

Vipers Fc ndio mabingwa wa Uganda na watashiriki michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.