Bayern - International

Mane akaribia kutua Arabuni

Joel JJ By Joel JJ
β€’
31 Jul 2023
Mane akaribia kutua Arabuni

Mshambuliaji Sadio Mane anatarajia kufanyiwa vipimo vya afya leo kabla ya kusaini mkataba wa kuitumikia klabu ya Al-Nassr akitokea Bayern Munchen

Kwa mujibu wa mtandao wa Sky Sport, Mane atakamilisha uhamisho wake kwa dau la pauni milioni £24m

Mane ataungana na mshambuliaji Cristiano Ronaldo ambaye pia anaitumikia timu hiyo

Mane amekuwa na wakati mgumu tangu aliposajiliwa na Bayern Munich msimu uliopita

Tangu aingie kwenye mgogoro na mchezaji mwenzake wa Bayern Leroy Sane, mabosi wa Bayern walimuondoa katika mipango ya timu hiyo

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
5h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
5h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
5h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
9h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
12h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
13h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
13h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
14h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
15h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
16h ago
READ MORE β†’