Simba yamaliza pre-season Uturuki

Joel JJ By Joel JJ β€’ 1st August 2023


Simba yamaliza pre-season Uturuki

Kikosi cha Simba kimeondoka Uturuki leo kurejea Tanzania baada ya kumaliza pre-season ya wiki tatu

Simba imeondoka Mji wa Ankara walikokuwa wakifanya pre-season kuelekea Istanbul ambako wataunganisha ndege ya Muscat, Oman kisha kuunganisha ndege nyingine mpaka jijini Dar es salaam

 


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.