Azam - Local

Azam Fc yaichapa Bandari Fc 2-0

Joel JJ By Joel JJ
β€’
5 Aug 2023
Azam Fc yaichapa Bandari Fc 2-0

Azam Fc imehitimisha maandalizi ya msimu mpya kibabe kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Bandari Fc ya Kenya katika mchezo wa Kimataifa wa kitafiki uliopigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi

Mabao ya Azam Fc yalifungwa na Sidibe na Prince Dube kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' akitoa pasi ya bao la pili lililofungwa na Dube

Huo ulikuwa mchezo wa mwisho kwa Azam Fc katika maandalizi yake ya msimu mpya ambayo yalianzia Tunisia

Azam Fc sasa inaelekea mkoani Tanga kushiriki Ngao ya Jamii ikitarajiwa kuchuana na Yanga siku ya Jumatano

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
2h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
4h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
4h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
5h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’