Singida FG yatangulia Tanga

Joel JJ By Joel JJ β€’ 5th August 2023


Singida FG yatangulia Tanga

Klabu ya Singida FG imekuwa ya kwanza kuwasili mkoani Tanga kwa ajili ya michuano ya Ngao ya Jamii

Singida FG waliwasili Tanga mapema leo wakiwa na siku chache za kukamilisha maandalizi yao kabla ya kuikabili Simba katika mchezo wa pili wa nusu fainali ambao utapigwa Alhamisi, August 10 2023


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.