Coastal Union - Singida FG - Local

Coastal Union kumenyana na Singida FG Tanga

Joel JJ By Joel JJ
β€’
7 Aug 2023
Coastal Union kumenyana na Singida FG Tanga

Kikosi cha Singida Fountain Gate ambacho kipo tayari mkoani Tanga kwa ajili ya kucheza mechi za kusaka mshindi wa Ngao ya Jamii 2023/24, leo saa 1:00 usiku kitacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Coastal Union inayonolewa na kocha Mwinyi Zahera katika Uwanja wa Mkwakwani

Singida FG itacheza dhidi ya Simba SC Agosti 10 mechi ya kwanza kisha mshindi atacheza na mshindi wa mechi ya Yanga vs Azam inayopigwa Jumatano Agosti 9

Coastal Union inayonolewa na Kocha Mwinyi Zahera inajiandaa na msimu mpya unaotarajia kuanza wiki ijayo wakati Singida FG wako mkoani Tanga kwa takribani siku tatu wakijiandaa na mechi ya nusu fainali Ngao ya Jamii

Wapinzani wao Simba jana walikamilisha Tamasha la Simba Day kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Power Dynamos na wanatarajia kutua jijini Tanga siku ya Jumanne

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
4h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
4h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
4h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
8h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
11h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
12h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
12h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
13h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
14h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
15h ago
READ MORE β†’