Azam Fc yaiwahi Yanga Tanga

Joel JJ By Joel JJ β€’ 7th August 2023


Azam Fc yaiwahi Yanga Tanga

Kikosi cha Azam Fc kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Tanga tayari kwa michuano ya Ngao ya Jamii

Yanga itachuana na Azam Fc siku ya Jumatano katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ambao utapigwa uwanja wa Mkwakwani

Yanga ambao ni mabingwa watetezi nao wataondoka jijini Dar es salaam baadae leo kuelekea Tanga


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.