Msafara wa kikosi cha Simba umewasili salama jijini Tanga tayari kwa mchuano wa Ngao ya Jamii
Simba itakuwa na siku moja kabla ya mchezo wa nusu fainali dhidi ya Singida FG ambao utapigwa Alhamisi, August 10 katika uwanja wa Mkwakwani