Klabu ya Yanga imewasilisha vibali vya wachezaji wake wote 12 wa Kigeni kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na hivyo wachezaji hao wanaruhusiwa kucheza mechi za Ngao ya Jamii
TFF imethibitisha kupokea vibali vya wachezaji 12 wa kigeni wa Yanga




