Yanga - Local

Skudu arejea kuiwinda Simba

Joel JJ By Joel JJ
β€’
11 Aug 2023
Skudu arejea kuiwinda Simba

Winga wa Yanga Skudu Makudubela jana alirejea uwanjani akifanya mazoezi mepesi siku moja baada ya kupata majeraha katika mchezo wa nusu fainali Ngao ya Jamii dhidi ya Azam Fc siku ya Jumatano

Hii ni habari njema kwa Wananchi kwani huenda wakamshuhudia Waziri wao wa raha kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Simba siku ya Jumapili

Kikosi cha Yanga kiliendelea na mazoezi jana kujiandaa na mtanange huo wa fainali dhidi ya watani zao Simba ambao jana walishinda kwa mikwaju ya penati dhidi ya Singida FG baada ya matokeo ya suluhu ya bila kufungana

Yanga ilimsajili Skudu kutoka klabu ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini akikabidhiwa jezi namba 6 ambayo ilipewa thamani kabla ya ujio wake

Mashabiki wa Yanga bado hawajashuhudia makali ya winga huyo mwenye uwezo mkubwa wa kuchezea mpira baada ya kucheza kwa dakika 7 tu mchezo dhidi ya Azam Fc na kuumia

Pengine wataipata nafasi hiyo siku ya jumapili katika mchezo dhidi ya watani zao Simba

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
5h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
5h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
5h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
9h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
12h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
13h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
13h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
14h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
15h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
16h ago
READ MORE β†’