Kulingana na taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi, makocha wasaidizi wa klabu za Yanga, Simba, Azam Fc hawana vigezo vya kufundisha ligi kuu ya NBC
Katika orodha hiyo pia yumo Kocha wa Dodoma Jiji Melis Nedo, Mwinyi Zahera Kocha wa Coastal Union, Hans van Pluijm wa Singida FG
Makocha hao watalazimika kwenda kuhuisha elimu zao kupitia program maalum za muda mfupi ambazo huendeshwa na CAF/FIFA






