Simba - Mtibwa - Local

Simba yaichapa Mtibwa Sugar 4-2

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Aug 2023
Simba yaichapa Mtibwa Sugar 4-2

Wekundu wa Msimbazi Simba Sc wameanza msimu wa ligi kuu 2023/24 kwa ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Mtibwa Sugar

Mabao ya Jean Baleke, Willy Onana na Fabrice Ngoma yaliipeleka Simba mapumziko ikiwa mbele kwa mabao 3-2

Matheo Anthony alifunga mabao yote ya Mtibwa Sugar, kupitia nafasi mbili  ambazo Mtibwa Sugar walipata kutokana na makosa ya safu ya ulinzi ya Simba

Simba ilirejea kipindi cha pili ikiendelea kutawala mchezo ambao kuingia kwa Saido Ntibazonkiza, Mzamiru Yassin na baadae Luis Miquissone kuliifanya Simba iendelee kumiliki mchezo

Bao la nne liliwekwa kambani na Clatous Chama aliyemalizika pasi murua kutoka kwa Luis Miquissone aliyeambaa na mpira upande wa kushoto kabla ya kujaza majaro iliyomkuta Chama katika nafasi nzuri na kuutumbukiza mpira kimiani

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
15h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’