Walcott atangaza kustaafu soka

Joel JJ By Joel JJ β€’ 18th August 2023


Walcott atangaza kustaafu soka

Mshambuliaji wa England, Theo Walcott ametangaza kustaafu soka akiwa na miaka 34

Walcott alianza kucheza Southampton mwaka 2005, mwaka 2006 alijiunga na Arsenal, mwaka 2018 alijiunga na Everton, 2021 akarejea Southampton

Amecheza michezo 563 na kufunga mabao 129 kwa ngazi ya klabu na michezo 47 na kufunga mabao manane akiwa na England

Majeraha ya mara kwa mara yamechangia kwa winga huyo mwenye kasi kutangaza kustaafu mapema


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.