Simba - Dodoma - Local

Simba yaipania Dodoma Jiji Ligi Kuu

Joel JJ By Joel JJ
19 Aug 2023
Simba yaipania Dodoma Jiji Ligi Kuu

Kocha Mkuu wa Simba Robertinho Oliveira amesema kikosi chake kiko tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Dodoma Jiji ambao utapigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Uhuru

Robertinho amesema wataingia katika mchezo huo kwa tahadhari lakini lengo ni kuhakikisha wanaondoka na alama zote tatu

"Tumekamilisha maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya Dodoma Jiji, wachezaji wako katika hali nzuri kuelekea mchezo huu"

"Tunawaheshimu wapinzani wetu Dodoma Jiji lakini tutaingia uwanjani kwa lengo la kuhakikisha tunacheza soka safi na kushinda, " alisema Robertinho

Aidha Robertinho amebainisha kuwa wachezaji Hennock Inonga na Aubin Kramo wataendelea kukosekana wakiendelea kuuguza majeraha

Hennock anasumbuliwa na bega wakati Kramo ana tatizo la goti alilopata mazoezini kabla ya Ngao ya Jamii

More Stories

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
1m ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
1h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
11h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
12h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
12h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
16h ago
READ MORE →
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
19h ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
20h ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
20h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
21h ago
READ MORE →