Manchester United - International

Manchester United yamtema Greenwood

Joel JJ By Joel JJ
β€’
21 Aug 2023
Manchester United yamtema Greenwood

Manchester United imetangaza kuwa Mason Greenwood ataondoka katika klabu hiyo kufuatia uchunguzi wa ndani kuhusu madai ya jaribio la ubakaji, kudhibiti na mashitaka mengine yaliyokuwa yakimkabili

Baada ya Greenwood kufutiwa mashitaka yote, Manchester United ilitangaza kufanya uchunguzi maalum kabla ya kuamua hatma ya mchezaji huyo

"Manchester United imehitimisha uchunguzi wake wa ndani kuhusu tuhuma zilizotolewa dhidi ya Mason Greenwood"

"Wale wote waliohusika, ikiwa ni pamoja na Mason, wanatambua ugumu wa yeye kurejesha kazi yake katika Manchester United"

"Kwa hivyo imekubaliwa kuwa ingefaa zaidi kwake kufanya hivyo nje ya Old Trafford, na sasa tutashirikiana na Mason kufikia matokeo hayo," ilisema taarifa ya Manchester United

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
3h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
3h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
4h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
7h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
11h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
11h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
12h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
12h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
13h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
14h ago
READ MORE β†’