Kiungo wa Singida Fountain Gate kutoka Brazili, Bruno Gomes amesema ana kazi kubwa ya kufanya kurudisha ubora wake wa msimu uliopita baada ya kukiri kuchelewa kujiunga na timu kumemrudisha nyuma kiasi kwamba hadi sasa bado anajitafuta
..... download Xtra 90 App



