Simba - Yanga - Azam - Local - Transfer

Msuva hana mpango wa kucheza Tanzania

Joel JJ By Joel JJ
β€’
23 Aug 2023
Msuva hana mpango wa kucheza Tanzania

Pamoja na kuhusishwa na klabu za Simba na Yanga, mshambuliaji wa timu ya Taifa 'Taifa Stars' Simon Msuva bado ana malengo ya kwenda kusakata kabumbu nje ya nchi

Mzee Happygod Msuva ambaye ni Baba mzazi na msimamizi wa mchezaji huyo, amesema kwa sasa mwanawe hafikirii kucheza Tanzania

"Mwanangu ananiambia, baba bado nataka kucheza nje ikitokea kucheza hapa nyumbani labda baadae lakini kwa sasa acha nikapammbane huko kwanza"

"Mambo yakikamilika tutaweka wazi lakini wanamichezo wajue sasa hivi Msuva kucheza hapa nyumbani hapana acha akapambane kama ambavyo anahitaji yeye," alisema Mzee Msuva

Msimu uliopita Msuva aliitumikia timu ya AL-QADSIAH inayoshiriki ligi daraja la pili huko Uarabuni. Alirejea nchini baada ya mkataba wake kumalizika

Mpaka sasa bado haijafahamika anaelekea wapi baada ya kukataa ofa za klabu za ndani

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
1h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
1h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
2h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
5h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
9h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
9h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
10h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
11h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
12h ago
READ MORE β†’