Kiungo wa zamani wa Yanga Papy Tshishimbi amejiunga na klabu ya Tabora United ya mkoani Tabora
Tshishimbi ametua Tabora akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na Ihefu Fc
Tshishimbi aliitumikia Kitayosce Fc msimu mmoja nyuma kabla ya kujiunga na Ihefu
Wakati huo Kitayosce Fc ilikuwa ikicheza play-off kuwania nafasi ya kucheza ligi kuu bila ya mafanikio
Amerejea kwa mara ya pili lakini sasa timu hiyo ikiwa Ligi Kuu