Amrauche aita 25 Stars

Joel JJ By Joel JJ β€’ 30th August 2023


Amrauche aita 25 Stars

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Adel Amrauche ameita wachezaji 25 katika kikosi kitakachoikabili Algeria katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Afcon 2023

Septemba 07 Stars itashuka dimbani huko Algeria katika mchezo ambao Tanzania inahitaji angalau alama moja tu ili kufuzu

Kikosi kilichoitwa


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.