Yanga - Local

El Merrikh vs Yanga kupigwa Rwanda

Joel JJ By Joel JJ
β€’
2 Sep 2023
El Merrikh vs Yanga kupigwa Rwanda

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limeitaarifu klabu ya Yanga kuwa mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya El Merrikh utapigwa katika uwanja wa Pele nchini Rwanda

Mchezo huo umepangwa kupigwa Septemba 16 na mchezo wa marudiano kupigwa jijini Dar es salaam Septemba 29

Awali kulikuwa na taarifa kuwa El Merrikh waliomba kubadili uwanja kuupeleka mchezo huo nchini Morocco lakini ni wazi maombi hayo yamegonga mwamba

Ni rasmi sasa Septemba 16 mabingwa hao wa Tanzania Bara watakuwa Rwanda katika mchezo ambao bila shaka watapata uungwaji mkono mkubwa kutoka kwa Wananchi wa Rwanda

Yanga ina umaarufu mkubwa Rwanda kutokana na kuwahi kuwasajili wachezaji mahiri kutoka Rwanda akiwemo Haruna Niyonzima nahodha wa zamani wa timu ya Taifa ya Rwanda

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
2h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
2h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
3h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
6h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
10h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
10h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
11h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
12h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
12h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
13h ago
READ MORE β†’