Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kinaendelea na maandalizi ya mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu fainali ya Afcon 2023 dhidi ya Algeria
Stars imeweka kambi Tunisia kujiandaa na mchezo huo ambao utapigwa Alhamisi, Septemba 07 huko Algeria
Sehemu ya mazoezi ya Taifa Stars kujiandaa na mchezo wa marudiano kufuzu AFCON dhidi ya Algeria mchezo utakaochezwa Septemba 7, 2023.@TaifaStars_ @azamtvtz pic.twitter.com/IqixLWmsSe
— TFF TANZANIA (@Tanfootball) September 3, 2023