Kikosi cha Singida FG kimeweka kambi jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa mtoano kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi CAF CC dhidi ya Future Fc ya Misri
Mchezo wa mkondo wa kwanza utapigwa Dar Septemba 17 katika uwanja wa Azam Complex na marudiano kupigwa wiki moja baadae huko Misri
Singida FG inajifua katika uwanja wa Uhuru Dar es saalam



