Stars yatua Algeria

Joel JJ By Joel JJ β€’ 6th September 2023


Stars yatua Algeria

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' tayari kimewasili Algeria kwa ajili ya mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Afcon 2023

Kesho Alhamisi, Stars itamenyana na wenyeji wao Algeria katika mchezo ambao Tanzania inahitaji angalau sare ili kuweza kufuzu kwa michuano hiyo


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.