Winga wa Manchester United Jadon Sancho alikuwa akilengwa na Al-Ettifaq kabla ya dirisha la Ligi Kuu ya Saudia kufungwa Alhamisi walipokuwa wakijaribu kumsajili kwa mkopo mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza mwenye umri wa miaka 23. (CBS Sports)
..... download Xtra 90 App



