Timu 24 zilizofuzu Afcon 2023

Joel JJ By Joel JJ β€’ 13th September 2023


Timu 24 zilizofuzu Afcon 2023

Tanzania ni nchi pekee kutoka ukanda wa CECAFA kukata tiketi ya kushiriki michuano ya Afcon 2023 ambayo itafanyika Ivory Coast mwezi Januari 2024

Juma ya timu 24 zimekata tiketi ya kushiriki michuano hiyo

Hii hapa orodha ya timu zote zilizofuzu


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.