Chelsea wanamtaka mshambuliaji wa Brentford ya Uingereza Ivan Toney, ambaye anatumikia marufuku ya miezi minane kwa kukiuka sheria za kamari za Shirikisho la Soka. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 haruhusiwi kucheza hadi tarehe 17 Januari 2024, lakini anaweza kurejea mazoezini wikendi hii. (football.london)
..... download Xtra 90 App



