Yanga - Local

USM Alger mabingwa CAF Super Cup

Joel JJ By Joel JJ
16 Sep 2023
USM Alger mabingwa CAF Super Cup

Klabu ya USM Alger kutoka Algeria jana ilifanikiwa kutwaa taji la CAF Super Cup baada ya kuichapa Al Ahly bao 1-0 katika mchezo uliopigwa Saudi Arabia

USM Alger ni mabingwa wa kombe la Shirikisho wakichuana katika Super Cup na Ahly ambao ni mabingwa wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika

Kama ingekuwa bahati kwa Yanga msimu uliopita pengine mchezo huo wangecheza wao kama wangetwaa CAF CC msimu

USM Alger walitwaa CAF CC kwa ushindi wa faida ya bao la ugenini dhidi ya Yanga licha ya timu hizo kutoka sare ya mabao 2-2 katika mechi mbili

More Stories

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
4m ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
1h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
12h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
12h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
12h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
16h ago
READ MORE →
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
19h ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
20h ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
20h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
21h ago
READ MORE →