Azam - Local

Dabo ataka wachezaji Azam Fc wajitume zaidi

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Sep 2023
Dabo ataka wachezaji Azam Fc wajitume zaidi

Kocha Mkuu wa Azam FC, Yusuph Dabo amesema kuwa kikubwa ambacho wachezaji wake wanatakiwa kukifanya  ni kujitoa muda wote kutafuta ushindi

Timu hiyo maskani yake ni Dar inatumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi zake za nyumbani. Kwenye ligi baada ya kucheza mechi mbili ni pointi sita zipo kibindoni

Dabo ni shuhuda wa nyota Feisal kuwa wa kwanza kufunga hat trick ndani ya kikosi cha Azam FC katika mchezo dhidi ya Tabora United.

"Kwa namna ambavyo tunafanya maadalizi kwa mechi zijazo ni muhimu kwa wachezaji kucheza kwa kujitoa zaidi ili kupata matokeo mazuri uwanjani"

"Tunaamini kuna makosa ambayo yanatokea hayo tunayafanyia kazi ili kuwa imara kwa mechi zijazo. Ushindani ni mkubwa hilo lipo wazo nasi tunajitahidi kufanya kazi nzuri kupata matokeo," alisema Dabo

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’