Singida - Local

Singida FG yaichapa Future Fc 1-0

Joel JJ By Joel JJ
17 Sep 2023
Singida FG yaichapa Future Fc 1-0

Mshambuliaji mpya wa Singida G Elvis Rupia ameifungia timu yake bao pekee la ushindi dhidi ya Future FC ya Misri katika mechi ya raundi ya kwanza Kombe la Shirikisho Afrika

Rupia alifunga bao hilo kwa shuti la mguu wa kushoto akipokea pasi ya kichwa kutoka kwa Morris Chukwu

Rupia alisajiliwa na Singida FG akitokea klabu ya Polisi ya Kenya, akiwa amefanya mazoezi na timu hiyo kwa takribani siku nne

Mfungaji bora huyo wa ligi kuu ya Kenya msimu uliopita ameiongezea makali safu ya ushambuliaji ya Singida FG

Singida itahitaji sare kwenye mchezo wa marudiano utakaopigwa Misri Oktoba Mosi ili kuweza kutinga hatua ya makundi

More Stories

BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
12m ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
27m ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
1h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
1h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
1h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
1h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
2h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
4h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
14h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
14h ago
READ MORE →