Simba - Local

Muhimu ni ushindi ili kutimiza malengo - Ahmed

Joel JJ By Joel JJ
24 Sep 2023
Muhimu ni ushindi ili kutimiza malengo - Ahmed

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema jambo muhimu kwa Simba msimu huu ni kutimiza malengo yake

Ahmed ametoa kauli hiyo baada ya kuibuka kundi la wachambuzi na baadhi ya mashabiki huko mitandano wakidai hawavutiwi vile Simba inacheza licha ya kupata ushindi katika mechi zake

Ahmed amesema msimu uliopita Simba iliongoza katika takwimu za kucheza vizuri pamoja na kufunga mabao mengi lakini mwisho wa siku hawakushinda kombe lolote

"Mpira wa miguu kilele chake huwa ni ushindi, kwenye Ligi tumechukua alama tatu dhidi ya Mtibwa Sugar, Dodoma Jiji na Coastal Union. Kwa hiyo ukija kwenye malengo, bado tupo kwenye malengo ambayo ni kushinda mechi kadiri tuwezavyo"

"Watu wanataka timu ifunge magoli mengi, msimu uliopita tulifunga magoli mengi na hatukuwa mabingwa. Huyu ambaye anasema tunashinda lakini hatuna furaha, itakuaje kama tutaendelea kushinda na kuwa mabingwa, atakuja kusema hana furaha ya ubingwa?"

"Nadhani kama Simba msimu huu tunapaswa kuishi kwenye malengo makuu ambayo ni kushinda kila mechi," alisema Ahmed

More Stories

BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
1h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
1h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
2h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
2h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
3h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
3h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
3h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
5h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
15h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
15h ago
READ MORE →