Shirikisho la soka duniani (FIFA) limeifungia klabu ya Rayon Sports ya Rwanda kufanya usajili wa wachezaji wa kigeni baada ya kukutwa na hatia ya kutomlipa stahiki zake aliyekuwa golikipa wao Ramadhan Kabwili
..... download Xtra 90 App