Kabwili aiingiza Rayon Sports matatani FIFA

Joel JJ By Joel JJ
β€’
26 Sep 2023
Kabwili aiingiza Rayon Sports matatani FIFA

Shirikisho la soka duniani (FIFA) limeifungia klabu ya Rayon Sports ya Rwanda kufanya usajili wa wachezaji wa kigeni baada ya kukutwa na hatia ya kutomlipa stahiki zake aliyekuwa golikipa wao Ramadhan Kabwili 

Kabwili alijiunga na Rayon Sports kwa mkataba wa mwaka mmoja lakini baadae aliamua kuondoka kabla ya mkataba kumalizika kutokana na kutolipwa mshahara wake kwa zaidi ya miezi mitatu

Baada ya kuvunja mkataba wake Kabwili alifungua malalamiko ya madai FIFA na baada ya hatimaye Shirikisho hilo limehukumu na Rayon hawataweza kusajili mpaka pale watakapomlipa mlinda lango huyo wa zamani wa klabu ya Yanga

Kabwili airejea nchini ambapo mpaka sasa bado hajapata timu

ADVERTISE HERE

More Stories

De Klassiker hakuna mshindi, Bayern 2-2 Dortmund
De Klassiker hakuna mshindi, Bayern 2-2 Dortmund
4h ago
READ MORE β†’
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
6h ago
READ MORE β†’
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
6h ago
READ MORE β†’
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
7h ago
READ MORE β†’
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
8h ago
READ MORE β†’
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
8h ago
READ MORE β†’
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
11h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
13h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
14h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
14h ago
READ MORE β†’